Divalovess "Hizo Nominations Kwanza Nimeshika Kichwa, Yan hii Ya Darasa, Rapcha na Young Lunya ndo imenivunja Mbavu"


Hivi Basata Wako serious Kabisa na walichokifanya? au basi .. 🤨
Nilikuwa naandika nafuta, saa Hii ndio mtamuelewa sana @diamondplatnumz kwann ana focus sana na soko la nje , hivi wanajua wanachokifanya kweli?!
Maana ujue nilitaka kucheka afu nikakuta nasikitika sana naona vibaya yan .. Hizo nominations kwanza nimeshika kichwa, Yan hii Ya Darasa, Rapcha na Young Lunya ndo imenivunja mbavu 😂😂 against all odds msemaji wa Muziki i mean no hard feelings but this is funny af 😂😂😂 anyways let me watch @netflix Young Famous & African .. niko ep3 now ila 🤣🧢

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad