Kampuni ya Meta ambayo ni mmiliki wa Mtandao wa Kijamii wa #Facebook na #Instagram imelegeza sera yake dhidi ya machapisho ya chuki ili kuruhusu maneno ya chuki dhidi ya #Urusi
Katika tamko lao wamesema wataruhusu sentensi za chuki kama ‘Death to Russian Invaders’ lakini hawataruhusu maneno yanayoashiria chuki dhidi ya raia. Hata hivyo, Urusi imezuia Mtandao wa #Facebook na #Twitter Nchini humo.