Mshambuliaji wa Klabu ya RS Berkane, Fiston Abdul Razak amesema kuwa anaamini kuwa wao ndiyo wameshinda licha ya dakika 90 kuamua Mnyama mshindi.
Fiston alikuwa na maneno mengi sana kabla ya mchezo huo wa leo dhidi ya wapinzani wao Simba SC huku akiapa kuwa angeonesha sababu ya yeye kusajiliwa na Berkane mbele ya Simba lakini hivyo sivyo ilivyokuwa baada ya dakika 90 kutamatika huku akijikuta akitolewa nje hata dakika ya 70 akishindwa kucheza.