Foby Adai Bora Steve Nyerere Kuliko Amapiano Kwenye Bongo Fleva


Mwanamuziki @fobyofficial meibua mjadala mwingine kuhusu sakata la #SteveNyerere na Tuzo za muziki tanzania, akidai kuwa ni bora Steve kuwa msemaji wa wanamuziki kuliko uwepo wa aina ya muziki wa Amapiano katika tuzo za muziki wa Bongofleva.




Je! Unakubaliana na maoni yake haya..?


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad