Gari Ya Mbunge wa Masasi Yateketea Kwa Moto..Familia Yanusurika



Mbunge wa Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022.

Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na Azam TV inaendelea kuwasiliana na Mwambe kupata taarifa zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad