Reposted from @sajomedia MANGE UNAPASWA KUACHA HAYA
“Kabla ya Yote, Mi Mange ananikera bwaaaanaaa.... Na hii app yake ya Uongo na kweli ndo kabisaaaa inaninyima Raha... Its too much... kutwa kuandika habari za uongo... Skia Mange, Iam Not Homeless & I love Men... Mimi sio hivyo unavyoambiwa... Nidhamu ya Uoga imefika mwisho wallahy I feel soooo bad.... Yaani unaniwekea Sura nyingine na tofauti kwa watu & Guess what its not funny kabisa kabisa....
Nakuheshimu mnoooooooo, The least i deserve to get from u ni heshima pia... Usitumie app yako ku bully watu cause hao hao watu unaowa turnish image zao wana familia pia jamani..... Aaaaaargh its too much bwana.... Mbona mi sitaki kabisa kukuvunjia heshima..... Its sooooo painful.... U shud Stop it Bwana....‼️‼️‼️” Wema Sepetu