Kulingana na mtandao wa Africa Fact Zone ambao unaripoti taarifa na takwimu mbalimbali kutoka barani Afrika, imetoa orodha ya nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa mtandao wa Instagram Afrika, huku Tanzania ikishika nafasi ya 6 katika orodha ya nchi 9.
-
Africa's Highest Number of Instagram Users
1. Egypt - 17.249 million
2. Morocco - 9.882 million
3. Nigeria - 9.562 million
4. Algeria - 9.124 million
5. South Africa - 6.529 million
6. Tanzania - 3.189 million
7. Tunisia - 2.959 million
8. Kenya - 2.476 million
9. Ghana - 2.224 million