Hizi Ndio zawadi Alizotoa Diamond Platnumz Kwenye Harusi ya Divaloveness na Abdul Usiku wa Jana



Mkurugenzi Wa Wasafi Media @diamondplatnumz Akimpongeza @divatheebawse Kwa Kazi Nzuri Anayoifanya Katika Kipindi Chake, amuongeza Mshahara Kwa Asilimia 50 Na Zawadi Ya Kiwanja (Beach Plot) Kigamboni Square Meter 2000 na TSH.MILIONI 10/= Pamoja Na Simu Mbili (ITEL A58 Series) na Tv Kwa @divatheebawse na Mume Wake @sheikh_abdulrazak_salum

Kwenye Sherehe Ya @divatheebawse na @sheikh_abdulrazak_salum Hapa Hyatt Regency


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad