Huyo ni NGOLO KANTE, mshindi wa kombe la dunia, mshindi wa UEFA akiwa na Chelsea, ana ndoo za Premier League akiwa na Leicester, Chelsea, ana UEFA SUPERCUP na kombe la klabu bingwa dunia, achana na account zake za benki
Hapo ni nyumbani kwao Mali, kijijini kwao anapiga picha na Majirani na ndugu zake nyumbani
Hana Bodyguards nyuma yake, hana msafara mrefu mbele yake, ni yeye na watu wake kwenye maisha yao ya kawaida