Leo Machi 12, 2022 Mwanasheria wa mmiliki wa makampuni ya GSM amezungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata linaloendelea kati ya GSM na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, ambapo amefika na kuanisha umiliki halali wa ardhi wa mteja wake kwa kuonesha vilelezo.