Wakili Peter Thadeo amesema Sheria ya Ndoa haijazuia wala kukataza mke au mume kuchepuka lakini ametahadharisha kuwa kuchepuka kupitiliza kunaweza kupelekea ndoa kuvunjwa.
Wakili Peter amesema kinachozuiwa na Sheria ya Ndoa ni mwanamke kufunga ndoa nyingine akiwa kwenye ndoa. Adhabu yake ni kufungwa jela hadi miaka mitatu.
Ukiingia kwenye ndoa na mtu mwenye tabia ya kuchepuka usidhani kama sheria itakusaidia.