Kenya Wamefungiwa kwa Muda Usiojulikana Kujihusisha na Masuala yote ya Kimpira


Kenya wamefungiwa kwa muda usiojulikana kujihusisha na masuala yote ya kimpira, hii imekuja baada ya baraza la FIFA kupitia wajumbe kupiga kura 198 kuridhia huku kura mbili tu za hapana

Hii imekuja baada ya serikali kuingilia shughuli za mchezo huo pendwa kwa kuteuwa kamati ya kuongoza mpira nje ya utaratibu wa FIFA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad