Linah Sanga "Rushwa ya Ngono Inatuandama Sana Wasanii wa Kike Bongo Flava"


Wasanii wa kike tunapitia mengi sana mpaka kutimiza ndoto zetu hasa rushwa ya ngono ili kupata msaada mimi mwenyewe ni mhanga wa jambo hilo, Na hiyo ndio sababu inayo fanya tuwe na wasanii wa kike wachache wengine wanakata tamaa, wengine hata wakifanya hivyo kusaidiwa bado hawafiki kokote baada ya Rushwa kufanikiwa. - @officiallinah

Una maoni gani?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad