Maiti zazikwa Kwenye Mifereji ya Barabarani Ukraine


Meya msaidizi wa Jimbo la MARIUPOL nchini Ukraine, Sergei Orlov amedai kuwa Uongozi wa Jiji Hilo umeamua kuchimba mfereji wenye urefu wa mita 22 kwaajili ya kuwazika maiti waliofariki kwa pamoja kutokana na Vita dhidi ya Urusi inayoendelea nchini humo.

Meya huyo amedai kuwa vifo vimekuwa vingi huku vikikadiriwa kufikia 1300 na zaidi, huku mingi ikiwa imezagaa mitaani. Waziri wa mambo ya Nje wa Ukraine ameongezea pia kwa kusema raia takribani 300,000 wametekwa na wapiganaji wa Jeshi la Urusi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad