Mfanyabiashara na Mkazi wa Nyamidaho, Wilayani Kasulu ameuawa kwa kupigwa risasi na Watu wanaosadakiwa kuwa ni Majambazi
Kamanda ACP James Manyama amesema Majambazi hao walivamia wakiwa na bunduki AK 47. Daglas (38) alipigwa risasi Mkono wa kulia na kwenye nyonga na kusababisha kifo chake