Mbowe Atoa Mpya "Jeshi la Polisi Asanteni Hakuna Sisimizi Aliyekanyagwa, Hakuna Mtu Aliyekamatwa wala Mtu Aliyepigwa Bomu"


"Leo nimepokelewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), hakuna sisimizi aliyekanyagwa, hakuna Mtu aliyekamatwa wala Mtu aliyepigwa bomu, Jeshi la Polisi ahsanteni sana, hii ndio Tanzania tunayoitaka" - Freeman Mbowe.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad