Mfalme Zumaridi Ajeruhiwa....


Picha zinazosambaa mitandaoni, zinamuonesha Mfalme Zumaridi akiwa amejeruhiwa.

Inadaiwa kwamba mchungaji huyo wa Kanisa la Zumaridi amejeruhiwa wakati wa kukamatwa kwake jijini Mwanza.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad