Mkubwa Fella "Wanangu Mtafikia Pasipo Stahili, Kaeni Chini Mziki Wetu ni Mkubwa Kuliko Mnachogombea"


"Wanangu mkiwa bado kujitambua mtafikia pasipo stahili mie niwaombe kaeni chini myapange mziki wetu mkubwa kuliko mnacho gombea sasa kama kaka yenu mkubwa wenu meneja wa kwanza TANZANIA kaeni myajenge.

Zamani tulichukia shirikisho kwa kupewa nguvu na matajiri. Leo serikali imeanza vizuri nyie mnaanza maneno kikubwa kujifanya mnajua vitu.


Sasa sijajua msemaji ana nguvu gani ya kukushusha au kukupandisha kwani niwaulize kweli Sanaa inaitaji msemaji au tumewahi. ila jumuiya inaitaji msemaji kuropoka kwa stivu ndio kunamshusha lakini stivu ni mzuri sana kwanza ana maono sasa tunachukua uiwigizaji wake masiala yake ndio tuna kuukumu stivu tunaomba kuwa serious kwanza comedy punguza hii Sanaa inagusa maisha ya Watu wengi Sanaa #nawasalimukwajinalajamhuriyamuunganowatanzania🇹🇿 kazi iendelee. Alafu ado, fid,sinza,mzee na msumari kaeni na watu wa bongo frevar mujue kunanini. Msitumie nguvu ya Uongozi. Uongozi ni wito,dhamana na usikivu wa watu wenu" - ✍ @mkubwafellatmk

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad