Mrembo Anayedaiwa Kuolewa na Mrema Afunguka " Simjui Mzee Mrema na sijawahi kukutana naye"


"Siolewi na Mzee Mrema, hizi habari zinazozushwa na picha yangu kusambaza mtandao kuwa naolewa naye ni uongo na uzushi. Picha inayosambaa ni yangu niliipost kwenye page yangu watu wakaichukua na kuiunganisha na ya Mzee Mrema na kuisambaza mtandaoni"


"Simjui Mzee Mrema na sijawahi kukutana naye. Nilikuwa nimelala asubuhi naamka nakuta missed call nyingi. Kwenye wathsaap nikatumiwa Screen shot kuwa naolewa na Mrema" Neema Swai, Mwanafunzi wa CBE anayedaiwa kuolewa na Mwenyekiti wa TLP, Lyatonga Mrema.

#LiveOnClouds360

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad