Mrembo anayepiga ngumu zaidi ya hata wanaume kwenye game ya bongo fleva Rosa Ree leo kadondosha mzigo mpya unaitwa BLUE PRINT
Ikumbukwe Rosa Ree ametajwa kuwania tuzo za Tanzania Music Awards kwenye zaidi ya kipengere kimoja
Tazama Video Hiyo Hapa Chini: