Msafara wa magari ya kijeshi ya Urusi wenye urefu wa kilomita 64 waelekea mjini Kyiv



Picha za setlaiti kutoka kwa kampuni ya teknolojia ya Maxar zinasema kwamba ripoti za mapema zinazosema kwamba msafara wa magari ya kijeshi ya Urusi una urefu wa kilomita 27 sio za kweli.

Ukweli ni kwamba msafara huo wa magari ya kijeshi una urefu wa kilomita 64, kulingana na Maxar.

Kampuni hiyo iliongezea kwamba , picha mpya ardhini zilikuwa zinaonesha wanajeshi walio ardhini na helikopta za kutekeleza mashambulizi kusini mwa Belarus, ikiwa ni chini ya maili 20 kutoka mpaka wa Ukraine

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad