Shahidi katika Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya (35) na wenzake sita amesema Sabaya ni mtu hatari
Watson Mwahomange (27) aliyekuwa Msaidizi wa Sabaya, na ni mmoja wa Watuhumiwa amedai alikuwa akiishi kama mateka na alipigwa kila alipotuhumiwa kitu
Ameomba Mahakama impe ulinzi atakaporudi Mahabusu akiendelea kusubiria hatma ya Kesi hiyo