Msanii Diamond Platnumz na Zuchu Waweka Wazi Mahusiano yao ya Kimapenzi " Wanasema Unanichezea tu"




EP ya @diamondplatnumz imesikilizwa usiku wa jana SlipWay na wimbo namba 9 ‘Watasubiri’ akiwa na @officialzuchu umeonekana kuwagusa wengi kutokana na wawili hao kuyajibu yanayoendelea mtandaoni.

Wawili hao wakati wanautambulisha wimbo huo walipanda stejini na kuanza kuimba pamoja. Zuchu akiwa jukwani hapo alisema “Namshukuru sana bosi wangu kwa kunishirikisha kwenye EP yake”

Baada ya ku-perfom pamoja na kukatiana mauno, Diamond alimshukuru muimbaji huyo huku akisindikiza na maneno “Huyu ndiye last Born wetu, ameutendea haki sana wimbo huu”


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad