Msemaji Mkuu wa Serikali Ampongeza Rayvanny na Kumkaribisha Maluma Tanzania



Baada ya Ryavnny kufanya show na staa kutoka nchini Colombia Maluma katika jiji la Paris nchini Ufaransa, msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amempongeza Ryavnny kwa kupata nafasi hiyo na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania na Afrika kimataifa.

Mbali na hilo msigwa amemkaribisha Maluma Tanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad