Msemaji wa wanamuziki wote nchini @stevenyerere2 kuoitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kutua neno kuhusu kukosekana kwa wasanii Kutoka @wcb_wasafi katika tuzo za TMA mwaka huu.
Steve ambae ni mteule mpya katika nafasi ya usemaji , ameShauri baraza la sanaa Tanzania BASATA na viongozi wa shirikisho la muziki nchini ku kakaa na kutafakari kuhusu kukosekana kwa baadhi ya wasanii hao, huku akitaka pande zote mbili kukutana ili kujadili na kuweka mambo sawa.