Mtandao wa Instagram umeondosha post yenye utata kutoka kwa mwanamuziki wa tanzania @officialnandy katika mtandao wake huo.
Post hiyo ambayo Nandy ameShare saa kadhaa zilizo pita, ilimuonesha akiwa amejitundika kwenye kamba ( mithiri ya mtu aliye jinyonga) jambo ambalo pia lilizua maswali miongoni mwa mashabiki zake.