Kwa mara ya kwanza mtanzania @kili_paul mwenye asili ya kabila la waMasai ameweza kutokea na kuonekana katika page rasmi ya ligi kuu nchini hispania maarufu kama #laliga yenye wafuasi million 40 katika mtandao wa Instagram.
KiliPaul ambae amejizea umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii haswa mtandao wa #tiktok kwa kuigiza na kuimba nyimbo za kihindi akiwa katika mavazi ya kimasai, kiasi cha kupata wafuasi wengi na kuwa maarufu zaidi nchini India, safari ameweza kugonga headlines nchini Hispania kwa kurekodi video akiwa anachezea mpira iliyokua maalumu kwa ajili ya mechi ya #elclassico siku chache zilizo pita.