Mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda Aunga Mkono Uvamizi wa Urusi


Mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ameelezea kuunga mkono uvamizi wa Urusi nchini Ukraine uliofanywa na Rais Putin.

Jenerali Kainerugaba ambaye ni kamanda wa majeshi ya nchi kavu ya Uganda amechapisha ujumbe kupitia mtandao wa Twitter unaosomeka :-

"Watu wengi (ambao si wazungu) wanaunga mkono msimamo wa Urusi nchini Ukraine, Putin yuko sahihi kabisa!".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad