Mume wa Shilole Tommy3d Amtaka Mwaijaku Kuwa Makini na Wake za Watu




Mke wa mtu ni Sumu! hivi ndivyo inavyo onekana, mara baada ya mume wa mwanamuziki shilole @rommy3d kuonesha kutopendezwa na mtangazaji wa clouds media @mwijaku kwa namna alivyokuwa akicheza na mke wake @officialshilole .

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Rommy ameweza kuShare sehemu ya video iinayo kuonesha mtangazaji huyo akicheza na #Shilole kisha kuambatanisha na ujumbe unao-onesha kuumizwa kwa namna fulani na jambo hilo huku akimtaka mtangazaji huyo kuwa makini na wake za watu.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad