Mwanafunzi Mmoja Amefariki kwa Kupigwa Risasi Wakati Polisi Wakizuia Wanafunzi Kutazama Mpira wa Man United na Man City
0
March 08, 2022
Mwanafunzi mmoja amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man United. Aidha, wanafunzi 1,000 wamerejeshwa majumbani na shule kufungwa kwa muda.