Naibu Waziri Mavunde "Steve Ana Kitu Kikubwa Sana Ambacho Wengi Hatuna"
Udaku Special
March 21, 2022
"Watu Wengi Ni Kama Wanamchukulia Poa Tu @stevenyerere2 Lakini Ana Kitu Kikubwa Cha Ziada Kikubwa Sana Ambacho Anatuzidi Watu Wengi Sana.
Ukiacha Yeye Kua A Laugh A Minute Lakini Kwenye Mambo Ya Msingi Amejaliwa Kipawa Cha organization Mambo - Mavunde