Ijumaa hii ya tarehe 11, diamond platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia kubwa sana katika mziki wa bongo flavour na kuvunja rekodi mbalimbali afrika kwa ubora na tuzo zitakazobebwa
Ni suala la muda tu
NAWASILISHA