Nandy Aibua Maswali Kuhusu Mahusiano yake na Billnass" Wacha Nikapambane Kwingine"



Mwanamuziki @officialnandy ameibua maswali miongoni mwa mashabiki zake katika mtandao wa Instagram mara baada ya kuShare post ya kuvunjwa moyo, huku akieleza kuchoshwa na mapenzi.

Katika post hiyo ya Nandy amedai kuchoshwa kubembeleza, na kudai kwenda kutafuta furaha kwingine akitumia harshTag ya #MapenziShikamooSirudiitena.


Bado haijajulikana moja kwa moja kama ni sehemu ya kutangaza ujio wa wimbo wake ama ni kweli anapitia maumivu ya kimapenzi katika mahusiano yake .
Tembelea youtube channel yetu ya Middle Simba kwa taarifa nyingi zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad