Orodha ya wasanii wa Hip Hop waliotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2021


Orodha ya wasanii wa Hip Hop waliotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2021 imetoka na jina la Jay-Z lipo namba 1. Jigga ametajwa kuingiza kiasi cha ($470M) zaidi ya TSh. TRILIONI 1.1 ambazo zimetokana na pato la baada ya kuuza hisa zake nyingi za mtandao wa TIDAL kwa kampuni ya Square Inc, kiasi cha ($302M) zaidi ya TSh. BILIONI 700

Lakini pia Jigga alikunja mkwanja mrefu mwaka jana baada ya kampuni ya LVMH kununua nusu ya hisa za Kinywaji chake, Armand de Brignac. Kwa upande wa YE ambaye amekamata nafasi ya pili, pato lake kubwa limeendelea kuingia kupitia bidhaa za Yeezy.

HIP-HOP’S TOP EARNERS 2021

1. JAY-Z – $470 million
2. Kanye West – $250 million
3. Diddy – $75 million
4. Drake – $50 million
5. Wiz Khalifa – $45 million
6. Travis Scott – $38 million
7. DJ Khaled – $35 million
8. Eminem – $28 million
9. J. Cole – $27 million
10. Birdman – $25 million
10. Doja Cat – $25 million
10. Tech N9ne – $25 million  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad