Prof Kitila "Suala Sio Katiba MPYA Bali Lini Tutarejea Mchakato"




Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Nchi ilishapiga hatua kwenye suala la #Katiba Mpya kwani ilishakubaliana Mwaka 2014 na kuunda Tume

Amesema hayo baada ya kuulizwa mawazo yake kuhusu Katiba Mpya inayoonekana kudaiwa na wapinzani. Ameeleza, swali la kujiuliza ni lini mchakato wa Katiba Mpya ulioainishwa utarejewa na kumalizwa kwani Nchi imeshatumia Rasilimali nyingi

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad