Rais Samia "Waliofikiri Nitashindwa Kumaliza Miradi iliyoachwa Upeo wao wa Kufikiri ni Mdogo Sana"


"Wanaposema kwamba miradi haitatekelezwa..nadhani upeo wao wa kufikiri ni mdogo sana, na kwamba hata miradi hii ilivyoanzishwa, ilianzishwa awamu ya tano mimi nikiwa Makamu wa Rais kwa hiyo ni sehemu ya miradi hiyo kuanza kwake na kutekelezwa kwake".

"Kwa kunitizama sura na kusema kwamba asingeweza kuendesha hii miradi nadhani hekima haikutumika, lakini tuwaombee, nasi tujiombee Mungu atupe nguvu zaidi, uwezo zaidi, hekima zaidi, tuweze kuendeleza miradi hii kwa maendeleo ya nchi yetu" Rais @samia_suluhu_hassan

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad