Web

Rosa Ree, Chemical na Fridah Amani Kuchuana Mwanamuziki Bora wa Kike Upande wa Hip Hop


Baada ya miaka mingi ya kukosekana Tuzo za muziki nchini Tanzania Serikali kupitia Baraza la Sanaa Tanzania ilitangaza kuzirejesha Tuzo hizo mwaka huu na kwamba sasa zitaendeshwa na Serikali.

BASATA imetangaza list ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo ambapo miongoni mwa Vipengele vilivyopo ni hiki cha Mwanamuziki bora wa kike wa Hip Hop ambapo wanaoshindanishwa ni Frida Amani, Rosa Ree, Chemical, Liss la Mode, Zuhura Lolo the Prince


Kura yako unampa nani kati ya hawa?


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad