EP mpya ya Diamond Platinumz (FOA) alioiacha usiku wa jana imeibua skendo ya kuwepo kwa mahusiano kati ya Rayvanny na Elizabeth Michael (Lulu) ambaye ni Mke wa Majizzo na kuacha maswali mengi sana.
"Nawaza Vanny na Elizabeth, Clip zao zikivuja,
Ndoa itaimarika eti au ndo wataivunja?"
Huyo ndio msitari wenye skendo hiyo, wimbo unaitwa Nawaza kutoka katika EP ya FOA.