Steve Nyerere "Sijaanza Kazi Mapovu Yanawatoka"



"Sijaanza hata kazi, mapovu yanawatoka, nani alikuwa anajua kuwa kuna Shirikisho la Muziki, ni baada ya li-package kubwa kutangazwa (Steve Nyerere)" - Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Steven Mengele maarufu Steve Nyerere akizumgumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Machi 22, 2022.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad