"Wale wote yale maoni yao Shirikisho limeyachukua, mimi siwezi kung'oka kihunihuni eti kwa sababu watu, eti masaa 48, kamfanyie Bibi yako masaa 48 huko, eti uning'oe kihuni tu".
Ameongeza, "Sisi tunahitaji saa 48 za kufanya kazi... Hatuwezi (tasnia ya muziki) kugawanyishwa na mtu, labda nisiwepo duniani."- Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Steven Mengele maarufu Steve Nyerere akizumgumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Machi 22, 2022.