Steve Nyerere "Sijiuzulu na Wala Sitoki, Nina Nia ya Kuendeleza Industry ya Muziki Nchi Hii"
0Udaku SpecialMarch 20, 2022
"Sijiuzulu na wala sitoki, nina nia ya kuendeleza industry ya nchi hii.” Amesema Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT) Steven Mengere, maarufu Steve Nyerere na kuongeza kwamba uteuzi wake ukitenguliwa atakwenda mahakamani.