"Nitaushangaa Uongozi wa Shirikisho la Muziki kama utawakalia kimya wale ambao hawana nidhamu na Shirikisho, hatuwezi kwenda na watu ambao wanalikebehi Shirikisho wakati hata tukiwaita kwenye vikao hawaji, leo wangekua watokaji wazuri kwenye vikao, wangekua washiriki wazuri wa Shirikisho Msemaji nisingekuwa mimi wangekua wao wenyewe" - Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Steven Mengele maarufu Steve Nyerere akizumgumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Machi 22, 2022.
Steve Nyerere "Nitaushangaa Uongozi wa Shirikisho la Muziki Kama Utawakalia Kimya Wale Ambao Hawana Nidhamu na Shirikisho"
0
March 22, 2022
Tags