Taarifa Rasmi Kutoka Kwa Tajiri Roman Abramovich Kuhusu Kuiuza Timu ya Chelsea




Baada ya mambo mengi na taarifa nyingi kutoka kwa vyombo vya habari kuhusu Mimi ndani ya Chelsea, leo hii naomba nitangaze kuwa naiuza rasmi klabu hii

Kwenye mauzo hayo sihitaji kulipwa deni lolote kwakuwa kwangu Chelsea haikuwa biashara na ni zaidi ya pesa hivyo hata pesa ya kuiuza Chelsea basi nimeagiza timu yangu waunde mfuko maalum kwa ajili ya kuwasaidia wahanga huko Ukraine

Nimechukua uamuzi huu kwa maslahi mapana zaidi ya Chelsea, Mashabiki, Wafanyakazi na wabia wetu kibiashara, nataka Chelsea iwe huru zaidi

Natumai nitapata nafasi ya kuagana nanyi Stamford Bridge na nawatakia kheri kwa kila kitu, mtasalia moyoni mwangu

Roman
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad