Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wanaofanya Biashara Kidigitali wafike Ofisi za Mamlaka hiyo ili kufanya usajili wa Biashara wanazofanya
TRA imesema wanatambua kuna Watu hawana Maduka na Namba ya Mlipa Kodi (TIN) ila wana Maghala makubwa ya kuhifadhia Bidhaa. TRA inaendelea kufuatilia wateja wa #Biashara za Kidigitali ili kupata taarifa sahihi.