Trevoh Noah Afunguka Baada ya Kanye West Kuondolewa Kwenye List ya Watumbuizaji Grammy


Mchekeshaji wa Afrika Kusini Trevor Noah amefunguka baada ya taarifa za Kanye West kuondolewa kwenye orodha ya watumbuizaji wa Tuzo za Grammy. Trevor ambaye atakuwa mshereheshaji wa Tuzo hizo za mwaka huu, alionekana kuwa amemchoma YE hadi kuondolewa kwenye list ya watumbuizaji kufuatia majibizano yao mitandaoni ambayo yalipelekea Kanye kumtolea Trevor kauli za kibaguzi baada ya kuandika kitu kuhusu Kim Kardashian.



Jana Jumapili kupitia twitter, Trevor Noah aliandika “I said counsel Kanye not cancel Kanye.” akimaanisha alitaka YE apatiwe msaada wa kiushauri na sio kumuondoa kwenye show.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad