Ukweli Mchungu "Usioe Mwanamke Anayeomba Nauli"

 


Mchungaji Mildred Okonkwo kutoka Nigeria amewashauri wanaume kutoa wanawake wanaomba nauli kwa sababu inaonesha ishara ya uvivu wa wanawake hao na umaskini.


Kwenye mahubiri ya mchungaji huyo yalikuwa yanahusu warembo ambao huomba nauli wakienda date na wanaume zao.


"Usioe msichana mvivu. Msichana ambaye atakuomba pesa za usafiri. Ushauri wanaokupa ni kwamba mwanaume ndiye anapaswa kutoa nauli ila ni ishara ya mrembo unayemchumbia au anayekuvutia ni masikini".


Pia Mchungaji huyo ameongeza kusema hata mwanamke anaweza kumchukua na kumpeleka mwanaume wake dating.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad