Watu wanne wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 wajeruhiwa katika ajali ya basi la Kilimanjaro Express iliyotokea eneo la Senjere wilayani Mbozi mkoani Songwe leo asubuhi.
Basi hilo limepinduka wakati likiwa safarini kutoka Tunduma kuelekea mkoani Dar es Salaam.