URUSI Wakanusha Wanajeshi wake 7000 Kuuwawa Ukraine, Wadai ni 498 tu


URUSI: Waziri wa Ulinzi Nchini humo, Meja Jenerali Igor Konashenkov amesema Wanajeshi wa #Urusi 498 wameuawa na 1,597 wamejeruhiwa katika mapigano na #Ukraine huku Rais wa Ukraine akisema waliouawa ni Wanajeshi 7,000

Aidha, Konashenkov ameongeza kuwa familia za Wanajeshi waliopoteza Maisha zimeendelea kupata usaidizi wa Serikali

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad