Urusi Yaanzisha Mashambulizi Mapya Baada ya Ahadi ya Amani



Gavana wa Chernihiv, Viacheslav Chaus asema Urusi haijalegeza mashambulizi dhidi ya Ukraine licha ya ahadi ya amani iliyoitolewa

Mapema Jumanne Naibu Waziri wa Ulinzi wa Urusi alikaririwa mara kadhaa akisema nchi hiyo itapunguza kwa kiasi kikubwa mashambulizi ikiwa ni juhudi za kuongeza uaminifu katika mazungumzo ya amani


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad