Wadaiwa Kukuta Masalia ya Mwili wa Mtu Wakichimba Shimo la Nguzo ya Umeme



Wakazi wa eneo la Old Vwawa  Songwe wamekutana na kinachodaiwa ni mabaki ya mwili wa binadamu katika shimo ambalo lilichimbwa kwa ajili ya kusimika nguzo ya umeme
-
Wakazi wa eneo hilo wameeleza kuwa shimo limechimbwa katika Mradi wa Nguzo za Umeme kutoka Old Vwawa kwenda Msambawani ambapo wamedai kukuta mifupa ya binadamu, cheni, bangili na jino
-
Msimamizi wa mradi huo, Nickson Albert amesema “Ni kweli wachimbaji wamekuta hivyo vitu, inaonekana mwili huo ulikuwa hapo kwa miaka mingi, walipeleka hayo masalia Serikali ya Mtaa lakini hawakutilia maanani”

#JamiiForums

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad